
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum
wa Umoja wa Afrika wa Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, amewasili jana
Jijini Tunis nchini Tunisia kushiriki Mkutano wa 8 wa Nchi majirani wa
Libya.
Mkutano
huo umeitishwa na Serikali ya Tunisia, na ni muendelezo...